Serikali imepokea meli mbili za tani 26,500 za mbolea ya kupandia mazao aina ya DAP zenye ruzuku kwa ajili ya kuwasambazia wakulima nchini.

Mkurugenmzi Mkuu wa Kampuni ya Mbolea nchini (TFC), Samuel Mshote amesema kupokelewa kwa tani hizo kunafanya nchi kupokea jumla ya tani 50,000 ikiwa ni asilimia 60 ya mpango wa serikali wa kuingiza tani 97,000.

Imeandaliwa na Tumie Omary

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *