Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme baada ya kusukumwa na udadisi wa kutatua changamoto za usafiri hususani upande wa uchafuzi wa mazingira na unafuu wa gharama.
Joseph Mpangala ameafuatilia ubunifu huo.
Mhariri @moseskwindi