Chama cha madaktari wa ugonjwa wa kisukari nchini umesema hatari ya vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo ugonjwa huo imeongezeka na sasa duniani imefikia asilimia 75 huku pia ulemavu wa kudumu ukiwa ni sehemu ya athari za ugonjwa huo.
Chama hicho kimeendelea kufanya kiliniki ya ugonjwa huo sambamba na kuwasisitiza wananchi kujikinga zaidi kwa maradhi hayo.
Taarifa ya Esterbella Malisa.
Mhariri @moseskwindi