Ikiwa leo ni siku ya ushauri elekezi duniani, Dr. Catherine Kahabuka, Mshauri mwelekezi (mentor) amabye pia ni (Career Advancement Coach) ametuambia kuwa, ushauri elekezi (mentorship) kwa kiasi kikubwa huwa inahusishwa na kukuza fani na kuingiza kipato na kumsaidia mtu kupiga hatua na kumfanya awe mwenye uwezo wa kutambua jambo alilojifunza kwa utaalamu zaidi.
#AzamTVUpdates