Kumekuwa na changamoto nyingi za majengo kwenye maeneo tunayoishi kutokana na kutokufanyiwa ukarabati kwa muda mrefu, Msanifu majengo, Osman S Mbarouk kutoka kampuni ya Majengo Grid Intarnational amesema kuwa, ukarabati wa majengo ni kitu cha muhimu sana na nikitu ambacho unatakiwa kushirikisha wataalam sahihi ili kuondoa changamoto hiyo na kuepusha gharama zisizo za lazima.
#AzamTVUpdates