Nigeria imefanikiwa kuibuka mshindi wa tatu michuano ya AFCON 2026 huko Morocco baada ya kuitungua Misri mikwaju ya penalti 4-2.

Mchezo huo wa kusaka mshindi wa tatu umekwenda hatua hiyo ya mikwaju ya penalti tano tano baada ya dakika za kawaida kucheza kumalizika kwa sare ya 0-0.

Nigeria kwenye fainali zilizopita ilimaliza kama mshindi wa pili ambapo mchezo wa fainali ilipoteza mbele ya wenyeji Ivory Coast

Michuano hiyo ya mwaka huu inatamatika hapo kesho kwa kupigwa mtanange wa fainali kati ya Senegal dhidi ya wenyeji Morocco.

#StaeTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *