Serikali imewataka waajiri kutekeleza amri ya kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi na kuzingatia viwango vilivyowekwa katika utekelezaji wa amri hiyo.
Akiwakumbusha waajiri kuhusu tamko hilo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Deus Sangu amesema kima hicho kimeongezeka kwa asilimia 33.4 na kinatofautiana kwa kutegemea na sekta.
Mhariri @moseskwindi