Ukistaajabu ya Musa utayona ya Firauni, leo kwenye mikasa ya Dafrao huko nchini Marekani Jonathan Gerlack mwenye umri wa miaka 34, amejikuta matatani baada ya kushikiliwa na vyombo vya dola akishitakiwa kwa makosa zaidi ya 300
ikiwemo kuiba mafuvu 100 ya vichwa vya watu, viungo mbali mbali vya binadamu pamoja na vito vya thamani vilivyo ibiwa katika makaburi ya Mount Moriah jijini Philadelphia.

✍Roland John
Mhariri | @moseskwindi

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *