Wananchi wanaoishi katika kijiji cha Kirongwe na Bubombi wilayani Rorya mkoani Mara wameiomba serikali ya mkoa wa Mara, kuchukua hatua za kudhiti vitendo vya uvamizi katika ziwa victora kwani wamechoshwa na vitendo hivyo vinavyofanya na wananchi kutoka mataifa jirani kwa kushirikiana na baadhi ya watanzania wasiwadirifu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *