Katibu wa NEC ,Itikadi na Mafunzo kenani kihongosi mara baada ya kuwasili katika ofisi za CCM wilaya ya Manyoni amewasilisha salamu za Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt samia Suluhu Hassan ikiwa ni Pamoja na shukrani za kumchagua kwa kura nyingi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *