Mshauli Mwelekezi wa Stadi za Maisha, Rodrick Nabe, amesisitiza umuhimu wa kutumia maumivu na changamoto za maisha kama chachu ya kufanikisha malengo.

Amesema kuwa wengi wanapofanikisha maisha yao, huwa wanasahau chimbuko la sehemu walikotoka, sehemu iliyoonyesha njia ya kuelewa maisha na jinsi dunia inavyofanya kazi.

Msikilize.

✍Ibrahim Kilumbo
Mhariri | @rajjmsangi

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *