Ni Katibu wa NEC ,Itikadi ,Uenezi na Mafunzo CCM Kinani Kihongozi akizungumza wakati akiwa shina namba 7 wilayani Manyoni mkoani Singida akiwa kwenye ziara yake ya Ufuatiliaji wa utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi na kuridhishwa na Uboreshwaji wa Hospitali ya wilaya ya Manyoni uliogharimu zaidi ya shilingi Bilionio 1 na milioni 400.

Mwenezi kihongosi ametembea na kukagua Mradi wa chuo cha ufundi stadi cha VETA kilichopo tarafa ya Manyoni kinachogharinu zaidi ya shilingi Bilioni 1 na Milioni 600 na kukamilisha na Mkutano wa Hadhara Halmashauri ya Itigi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *