Jeshi la polisi mkoani Tabora linamtafuta mwanamke anayetuhumiwa kumtelekeza mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na umri wa siku tano katika nyumba ya kulala wageni wilayani Nzega.

Mbali ya msako huo pia kimetangazwa kiasi cha Shilingi 500,000 ya zawadi kwa atakayefanikisha kukamatwa kwa mwanamke huyo.

Juma Kapipi amefuatilia tukio hilo.
Mhariri @moses_kwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *