Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amewaonya watumishi wa umma kuwa wanaposhindwa kutekeleza majukumu yao wanaigombanisha serikali na wananchi.

Kihongosi ametoa onyo hilo na kuongeza kuwa chama hicho hakitasita kuchukua hatua dhidi ya wale wanaokwamisha juhudi za serikali.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *