Mwanamke aliefahamika kwa jina la Hadija Jumaa anaekadiliwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 30, mkazi wa mji wa Handeni mkoani Tanga, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya mji wa Handeni baada ya kudaiwa kuchomwa kisu na mume wake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *