Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), na mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mzee Edwin Mtei (94), amefariki dunia usiku wa Januari 19,2026.

Kwa mujibu wa taarifa ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, mzee Mtei amefariki dunia mkoani Arusha.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *