Mjumbe wa Tume ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, mwaka jana, Balozi Ombeni Sefue amesema idadi kubwa ya wananchi waliojitokeza kutoa maoni katika mikoa mbalimbali nchini ni wale ambao mali zao ziliharibiwa, waliopoteza ndugu zao pamoja na walioathirika kwa kupoteza viungo vya mwili.
Mhariri @moseskwindi