Mtaalamu wa Saikolojia, John Ambrose ameeleza kuwa njia bora ya kufanya vitu kwa ufanisi ni kukubaliana na changamoto mtu anazozipitia na si kuzikimbia.

Ameongeza kuwa mtu anapokumbana na matatizo, anatakiwa kuandaa akili yake kuyakubali, kwa sababu namna mtu anavyotazama au kutafsiri changamoto ndivyo ubongo unavyopokea na kuitikia, iwe katika hali ya huzuni au furaha.

Msikilize akizungumzia mada hii kiundani .

✍Halima Abdallah
Mhariri | @rajjmsangi

#AzamTvUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *