Mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edwin Mtei, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 94.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Chama hicho, Mtei amefariki akiwa nyumbani kwake Tengeru, mkoani Arusha.

Mtei aliwahi kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania na baadaye Waziri wa Fedha na Mipango.

#AzamTvUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *