Naibu Waziri wa Afya, Daktari Florence Samizi amesema Rais, Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hassan amewekeza kwa kiasi kikubwa kusomesha madaktari bingwa na bobevu ili kuhakikisha Wananchi kote Nchini wanapata huduma za kibingwa na kuwapumguzia mzigo mkubwa wa kusafiri kwenda kupata huduma hizo katika Hospitali kubwa ikiwemo Mlongazila.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *