umatano, Januari 21, 2026, tutafanya mahojiano maalumu na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Huduma kwa Wateja, Irene Gowelle ambaye atajibu maswali kuhusu huduma ya nishati ya umeme nchini, miradi inayoendelea pamoja na changamoto mbalimbali.
Usikose kufuatilia kipindi cha Morning Trumpet kupitia chaneli namba 108 #UTV
#AzamTVUpdates