Wafanyakazi na viongozi wa serikali mkoani Mwanza, waliokuwa kwenye ziara ya Mkuu wa Mkoa, Saidi Mtanda wamejikuta katika wakati mgumu baada ya RC Mtanda kuwapa kazi ya kuhamisha shehena ya saruji iliyoharibika, inayodaiwa kufichwa katika moja ya nyumba za watumishi wa Kituo cha Afya Nyamsenda, wilayani Sengerema.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)