Tangu kuzuka kwa mvutano wa kisiasa, kiuchumi na kiusalama kati ya Marekani na nchi za Ulaya kufuatia madai ya Marekani kutaka kuchukua kisiwa cha Greenland bila ridhaa ya Denmark, Umoja wa Ulaya uliingilia kati ukisisitiza heshima ya sheria za kimataifa na diplomasia, hali iliyoongeza shinikizo kwa Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye hivi karibuni amelazimika kuachana na msimamo huo.
#azamtvupdates
✍Roland John
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)