Wananchi wa mtaa wa Forodhani – Bukoba, wameanza kutengeneza barabara za mtaa huo ambazo kwa muda mrefu zimekuwa hazipitiki, kwa lengo la kuondoa adha wanazokutana nazo.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wananchi hao wamesema wameanza na barabara inayotoka eneo la Kashura kupitia makazi yao hadi barabara kuu inayoelekea Bandari ya Bukoba.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)