Afisa Uhusiano wa Miss World Tanzania, Hassan Suleiman amesema mashindano ya ulimbwende yana mchango mkubwa katika kulitambulisha taifa kimataifa, huku yakitoa ajira kwa watu wa fani mbalimbali za urembo na burudani, ikiwemo wabunifu wa mavazi, wapiga picha na wasanii wa vipodozi, hivyo kuchangia kukuza uchumi wa ubunifu nchi.
#AzamTVUpdates
✍Halima Abdallah
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)