Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Songwe zimesababisha kupungua kwa kasi ya ujenzi wa barabara ya Ruanda–Idiwili, inayojengwa kwa kiwango cha lami kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 40.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *