Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umewahimiza wananchi waliopitiwa na mradi wa gesi asilia katika Mkoa wa Lindi kutumia fursa ya kuunganishwa na mradi wa usambazaji wa gesi asilia ya kupikia majumbani, ili kuondokana na matumizi ya nishati chafu ikiwemo mkaa na kuni.

Hadi sasa, jumla ya kaya 477 zimeunganishwa na huduma ya gesi asilia kupitia mradi huo uliogharimu zaidi ya shilingi bilioni 6.8.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *