Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ametangaza kuanza rasmi kwa awamu ya kwanza ya utekelezaji wa bima ya afya kwa wote Jumatatu ijayo, ambapo itahusisha makundi maalumu yasiyo na uwezo, wakiwemo wazee na watu wenye ulemavu.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)