Wakuu wa Wilaya za Nachingwea na Liwale mkoani Lindi wameifungia zaidi ya migodi ya dhahabu iliyopo katika kijiji cha Kiegei kwa kukiuka sheria na taratibu za uchimbaji wa madini, ikiwemo matumizi ya kemikali hatarishi ya Zebaki pamoja na kuuhamisha mto Mbwemkuru kutoka mkondo wake wa asili.
(Feed generated with FetchRSS)