#HABARI: Wabunge kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba Serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji anayetuhumiwa kubomoa bila kibali majengo ya Serikali katika Kitongoji cha Katoro Center kilichopo mji mdogo wa Katoro.
Kwenye video ameonekana akimbana mwekezaji huyo ambaye alikuwa amkekasirika vikali wakijibizana.
Wabunge hao ambao ni Joseph Musukuma wa Jimbo la Geita pamoja na Mhandisi Kija Ntemi wa jimbo la Katoro wamewasilisha malalamiko yao baada ya kamati ya Uchumi na Fedha ya halmashauri kutembelea eneo hilo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
(Feed generated with FetchRSS)