Kamati Kuu ya CCM, imewateuwa Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Paul Makonda na mbunge Livingstone Lusinde maarufu ‘Kibajaji’ kuwania nafasi ya ujumbe wa Halmashauri Kuu CCM.
Wawili hao wameteuliwa leo katika kikao cha kamati hiyo kilichofanyika leo Jumapili, Januari 24,2026 visiwani Zanzibar ambako nafasi zinazotakiwa kujazwa kupitia Bunge kwa upamde wa wanaume ni mbili.
Kwa upamde wa wanawake kamati hiyo imemteua Asia Abdulkarim Halamga kuwa mgombea pekee.
#StarTvUpdate

(Feed generated with FetchRSS)