KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusufu Mwenda amesema TRA imechangia Kwa kiwango kikubwa cha kuhakikisha nchi inakuwa salama na watu wake hasa mipakani Kwa ufanya ukaguzi Kwa Kila kitu kinachoingia nchini Kwa umakini wa hali ya juu.
Akizungumza Leo Januari 25 mkoani Dar es salaam wakati wa Bonanza la kuelekea siku ya Forodha Duniani 2026, Kamishna Mkuu wa TRA Yusufu Mwenda amesema mpaka Sasa Jamii ilivyo na usalama uliopo mchango mkubwa unatokana na ufanyaji kazi mzuri wa TRA hasa katika kuzuia Afya vyao Kwa vitu ambavyo haviruhusiwi.
Amesema ingawa imekuwa na mchango mkubwa wa Maendeleo kupitia ukusanyaji wa mapato, lakini imekuwa ikifanya kazi kubwa sana katika kuilinda Jamii hivyo amewahidi kulindwa kabla ya kuilinda Jamii.
(Feed generated with FetchRSS)