Nchini Nigeria, mwanamke mwenye umri wa miaka 26 amejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya kugundua kuwa alidanganywa umri na mume wake ili aweze kumuoa. Mwanamke huyo amebaini ukweli huo baada ya kukagua pasi za kusafiria, ambapo aligundua kuwa mume wake ana umri wa miaka 54, tofauti na umri wa miaka 34 aliokuwa ameelezwa wakati wa ndoa.

Tukio hilo limemweka mwanamke huyo katika njia panda kuhusu mustakabali wa ndoa yao, na limeibua mjadala mpana kuhusu uaminifu na udanganyifu katika uhusiano.

✍ Roland John
Mhariri | @rajjmsangi

#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *