Ng’ombe wa huko kwenu anaweza kufanya haya Nchini Australia kumeshuhudiwa tukio la kushangaza baada ya ng’ombe anayeitwa Veronica kuonesha uwezo wa kipekee wa kutumia brashi na miti kujikuna mwilini mwake.

Kitendo hicho kimewashangaza watu wengi kutokana na kiwango cha akili na ufahamu anachokionesha mnyama huyo. Sikiliza mikasa hii ya Datrao na Jaafar Mponda.

✍ Roland John
Mhariri | @rajjmsangi

#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *