Wabunge wa halmashauri ya Geita, Joseph Msukuma na Mhandisi Kija Ntemi wmezichapa kavukavu na mwekezaji waliyemtuhumu kubomoa majengo ya Serikali katika kitongoji cha Katoro Center.

Msukuma na Ntemi wamewasilisha malalamiko yao baada ya Kamati ya Uchumi na Fedha ya Halmashauri kutembelea eneo hilo linalolalamikiwa na kutokea mvutano kati ya mtu aliyejitambulisha kuwa ni mwekezaji na wabunge hao kabla Msukumu hajamrushia konde mwekezajii huyo.

#StarTvUpdate

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *