#HABARI: Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Arusha Osward Mwanjegele, amesema Jeshi la Zimamoto walifika eneo la tukio majira ya saa tisa usiku baada ya kutaarifiwa kuhusu moto huo na kuanza mara zoezi la kuuzima.

Pia ameeleza kuwa tofauti na hasara ya mali iliyojitokeza hakuna majeruhi wala kifo kilichotokea.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *