Mdau wa lishe Nusura Salum amesema kwa mama ambaye anayonyesha anapaswa kuzingatia makundi sita ya vyakula ambayo yatasaidia kuongeza nguvu mwilini ili kuweza kuzalisha maziwa ya kutosha, pia makundi hayo ya chakula yatasaidia kulinda afya ya mama na mtoto.

Amneongeza kuwa mama anayenyonysha anatakiwa kula milo sita kwa siku hii ni kwasababu nguvu ya nishati lishe mwili imeongezeka.

✍ Halima Abdallah
Mhariri @moseskwindi

#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *