Mkuu wa wilaya ya Ilala Edward Mpogolo Pamoja na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam Elihuruma Mabelya wameongoza zoezi la Upandaji miti katika Shule ya jagwani ikiwa ni sehemu ya Kuadhimisha siku ya Kuzaliwa Rais Samia Suluhu Hassan.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *