Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Ndugu Faris Buruhan, ameungana na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Omumwani iliyopo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera katika zoezi la upandaji wa miti 2,00O wakiwa Wanasherekeq Kuzaliwa Kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Ccm Taifa Dkt Samia Suluhu Hassani.
Zoezi hilo limefanyika ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kulinda mazingira na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kupitia kampeni ya upandaji miti nchini.
(Feed generated with FetchRSS)