Rais wa Marekani Donald Trump amesema utawala wake utapunguza operesheni ya kuwasaka raia wageni “wahamiaji haramu” huko Minneapolis baada ya maafisa wa kikosi maalumu cha uhamiaji (ICE) kuwaua watu wawili katika mji huo mwezi huu.

Taarifa ya Auleria Gabriel ina undani zaidi.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *