Taasisi mbalimbali kutoka sekta binafsi na sekta ya umma zimehimizwa kufanya uwekezaji katika kampuni zinazoorodheshwa katika masoko ya hisa ili kupata mitaji ya kutekeleza miradi yao kwa kuzingatia kampuni zinazofanya vizuri ndani ya masoko ya hisa.

Rai hiyo imetolewa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Nicodemus Mkama wakati wa uorodheshwaji wa Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja katika Soko la Hisa la Dar es Salaam.

Taarifa ya Esterbella Malisa

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *