Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Zuhura Yunus amewaasa vijana 228 wanaokwenda kufanya kazi nje ya nchi na amewataka kuwa mabalozi wazuri wa Tanzania.
Aidha, vijana hao wamepata fursa ya ajira katika nchi ya Oman, Qatar, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE),Denmark na Ujerumani.

#kilichoborakabisa

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *