Wananchi 430 walioathiriwa na mvua iliyoambatana na upepo mkali na kuharibu baadhi ya makazi na mashamba ya mazao wameishukuru Serikali kwa kuwapatia magodoro kwa kila kaya iliyokumbwa na maafa huku wakiomba kurejeshewa kwa mkazi yao ili waweze kurejea kwa lengo la kuendelea na shughuli za uzalishaji mali.
(Feed generated with FetchRSS)