Waziri wa mambo ya Kigeni wa Iran Abbas Araqchi amesema nchi yake iko tayari kuanza tena mazungumzo ya nyuklia na Marekani+++Ujumbe wa wasuluhishi kwa mgogoro wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutoka Umoja wa Afrika unasubiriwa kuwasili Bujumbura kukutana kwa mazungumzo na Rais Evariste Ndayishimiye.