#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro, ameumaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka kumi, katika Vitongoji shikizi vya Mwandubandu, asante Magufuri na Sentabariadi wilayani Uvinza baada ya Kaya zaidi ya 1500 kugawiwa maeneo ya kulima na kuzivunja Kaya chache zilizokuwa zinamiliki maeneo makubwa wakati wengine hawana maeneo ya kuendeshea maisha yao.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.