“Kundi lilivyo na aina ya Mechi ilivyokuwa, ukipata pointi moja maana yake umepata pointi ya muhimu, pointi ya thamani, tumechukua pointi moja hesabu ziko wazi imebakia kwetu” -Ally Kamwe – Afisa Habari na Mawasiliano wa timu ya Yanga SC.

‎Powered by #MCHEZOSUPA


‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *