Milipuko yaripotiwa katika maeneo mbalimbali nchini Iran huku mvutano wa kikanda ukiongezeka+++Mjumbe wa Kremlin arejea Marekani kwa mazungumzo ya amani na Ukraine+++Mashambulizi ya Israel yauwa Wapalestina 30, wakiwemo watoto+++Kura ya maoni yaonesha CDU/CSU zafungana na AfD+++Watu wasiopungua 200 wamekufa baada ya mgodi wa coltan kuporomoka mashariki mwa Kongo.