“Uhifadhi huu si kwa ajili ya serikali, kama ambavyo mmesema tumerithishwa…tuwarithishe, hili ni jambo la kila Mtanzania, tushirikishane njia bora za kuendeleza uhifadhi huu ni urithi”Mhe.Mwigulu Nchemba – Waziri Mkuu wa Tanzania
Ameeleza haya wakati wa hafla ya utoaji tuzo za Kitaifa za Uhifadhi na Mazingira (The Serengeti Awards) Jijini Arusha, hafla inayowakutanisha wadau mbalimbali wa utalii na uhifadhi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.