#VIDEO: Afisa Habari wa timu ya Azam FC Thabith Chumwi Zakaria maarufu kama Zakakazi akiongea na waandishi wa habari amesema mchezo wao wa kesho Februari 01, dhidi ya Nairobi United ni lazima wapate matokeo ili kuwapa mostisha ya michezo ijayo ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Timu ya Azam FC itashuka kwenye dimba la New Amaan Complex visiwani Zanzibar na mchezo wao dhidi ya Nairobi United utachezea majira ya Saa 1:00 usiku.
.
.

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *