Abel ajivisha mabomu ya Camara, Yakoub Simba
BAADA ya makipa wawili wa Simba, Moussa Camara na Yakoub Suleiman kuumia huku wakitarajiwa kurudi uwanjani Februari 2026, kipa aliyebaki, Hussein Abel ametoa kauli ya upambanaji.
BAADA ya makipa wawili wa Simba, Moussa Camara na Yakoub Suleiman kuumia huku wakitarajiwa kurudi uwanjani Februari 2026, kipa aliyebaki, Hussein Abel ametoa kauli ya upambanaji.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima, amewataka wananchi waliokuwa wakitarajia kuwapokea ndugu zao waliokuwa wakisafiri kutoka Morogoro Desemba 31, 2025, lakini hawajawaona, kutoa taarifa katika ofisi za Wakuu wa…
Maelfu ya watu kutoka Iran na kote ulimwenguni wamekusanyika katika mji wa Kerman ulioko kusini mwa Iran, kuadhimisha kumbukizi ya kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem, aliyekuwa kamanda wa Kikosi cha…
Leo Jevdet kawawashia moto mama yake na mdogo wake Hashmet 😅 Usikose kutazama 6 of Us leo kuanzia saa 2:00 usiku ndani ya #AzamTWO pekee.
Katika kuunga mkono jitihada za Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii za kuhamasisha utalii wa ndani nchini, Umoja wa Chama cha Ushirika cha Akiba na Mikopo (SACCOS) cha kata…
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaweka kipaumbele katika utoaji wa ajira kwa vijana...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeonya uwepo wa mvua na radi kwa kipindi cha Januari 1...
Usikose kutazama uhondo wa UMMY leo kuanzia saa 1:00 usiku ndani ya #AzamTWO, suala la Halla/Basma bado linazinguka 😇
ARUSHA: THE Arusha Regional Commissioner, Amos Makalla, has inspected the progress of the construction of a stadium being built for the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON), stating that the…
Bei za samaki katika soko la Ferry, jijini Dar es Salaam, zimepanda katika siku za karibuni kufuatia kupungua kwa shughuli za uvuvi baharini. Wafanyabiashara wa samaki sokoni hapo wanasema hali…
Bisura amewaka tena kwa Mbote anataka kazi yake iishe apate mali...Maige ameanza kazi naye
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Dk Khalid Salum Mohamed ameishauri Wizara ya Ardhi na...
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ameonya kwamba, uingiliaji kati wa Marekani katika masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu utavuruga utulivu wa eneo zima la…
Nabii maarufu kutoka Ghana, Nigel Gaisie ametabiri kuwa timu ya taifa ya nchi hiyo, Black...
Askari wa gadi ya baharini ya Gambia wameopoa majini miili saba ya wahamiaji wasio na vibali, huku wengine 96 wakiokolewa kufuatia ajali ya boti pwani ya nchi hiyo.
Serikali ya Ethiopia imetangaza kwamba imewarejesha nyumbani zaidi ya raia 27,300 waliokuwa wamekwama katika nchi za Myanmar na Saudi Arabia katika kipindi cha miezi mitano iliyopita.
Waziri Mkuu wa Denmark, Mette Frederiksen amepinga vikali juhudi mpya za Marekani za kuinunua Greenland, akitoa hotuba kali dhidi ya mpango huo, huku mvutano wa kidiplomasia baina ya pande mbili…
Ujenzi wa viwanda vya nguo na dawa za binadamu katika eneo la viwanda Dunga Zuze, Mkoa wa...
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imebatilisha hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela na faini ya...
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 02/01/2026
Ujenzi wa viwanda vya nguo na dawa za binadamu katika eneo la viwanda Dunga Zuze umetajwa...
Waziri Mkuu wa Japan, Sanae Takaichi ameongeza nguvu kushawishi kutaka vyoo vya wanawake...
Mwaka huu Kenya ilimpoteza mmoja wa watu wake mashuhuri kwa jina la Raila Amolo Odinga, mmoja wa wanasiasa waliodumu nchini humo, aliyefariki akiwa na umri wa miaka 80.
Uhusiano wa Harmonize na Kajala Masanja umekuwa na matukio mengi ya panda shuka ambayo kwa...
SIKU kabla ya uchaguzi, wakati na baada ya uchaguzi mara chache huwa tulivu. Katika demokrasia, siku hizo huleta hofu, kauli za ushindani na kuibua hisia. Tanzania haikuachwa nyuma. Matukio yaliyoripotiwa…
GABON: GABON’s government has announced the suspension of the national team, the sacking of the coach and kicked Pierre-Emerick Aubameyang off the squad in the wake of three defeats at…
DODOMA: Trade volume between Tanzania and Malawi has increased sharply over the past five years, rising from USD 46.886 million (approximately 114.88bn/-) in 2020 to USD 77.679 million (about 190.33bn/-),…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwenye mtandao wake wa Truth Social siku ya Ijumaa kwamba “ikiwa Iran itawapiga risasi waandamanaji wa amani na kuwaua kwa nkiholela, kama ilivyo kawaida…
#HABARI: Mwanahabari nguli wa Tanzania anayeishi nchini Sweden, Bwana Majjid Mjengwa, amewataka Watanzania kuwa makini na taarifa za upotoshaji zinazochochewa na watu wenye nia ovu katika mitandao ya kijamii, akisema…
Mwezi Januari huendelea kutajwa na wengi kama mwezi mgumu, kutokana na shinikizo la maisha linalowakumba wananchi katika kipindi hicho. Matumizi huongezeka kwa kiasi kikubwa, yakihusisha ada za shule, kodi ya…
VENEZUELA: The New Year’s Day announcement marks the second mass release in a week amid US pressure on President Nicolas Maduro’s government. Venezuela‘s government on Thursday announced the release of…
UKRAINE: A five-year-old boy has been killed in a Ukrainian drone strike on his family’s car in Russia’s Kherson Region, Governor Vladimir Saldo has said. The boy, his mother and…
Zohran Mamdani ametangazwa kuwa meya mpya wa Jiji la New York City, nchini Marekani na hivyo kuwa kiongozi mwenye umri mdogo zaidi kuliongoza jiji hilo tangu mwaka 1992. Aidha, anakuwa…
Safari kutoka Hull City hadi Chelsea kupitia Strasbourg huenda isimfanye Liam Rosenior kuingia...
Nchini Madagascar, wagonjwa watano wa Mpox, pia unaojulikana kama virusi vya homa ya nyani, wamethibitishwa na Wizara ya Afya ya Umma. Wagonjwa kumi na mmoja wanaoshukiwa kuambukizwa virusi hivyo pia…
MKURANGA: IT has been stated that the use of clean cooking energy continues to create numerous employment opportunities for Tanzanians, particularly in the production of alternative charcoal and the manufacturing…
MWAKA Mpya 2026, ndio umeanza ikiwa ni siku ya pili tangu Watanzania walipoungana na watu wengine duniani kuupokea mwaka huo. Kwanza tunamshukuru Mungu kuwezesha wengi wetu kuuona mwaka na uwepo…
MOROGORO: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has begun an official working tour of Morogoro to assess the ongoing construction of the Kidunda Dam and assess the impact of the recent rainfall…
Kinyozi mmoja nchini Kenya anaefahamika kwenye mitandao kama Chief Safro, ameendelea kujizolea umaarufu ndani na nje kwa kutumia zana za jadi kama beleshi na tindo kunyoa nywele, mtindo ambao umemsaidia…
WILAYA ya Tunduru mkoani Ruvuma kupitia Idara ya Afya imeanza msako wa kuwatafuta wagonjwa wa Kifua Kikuu waliokatisha matumizi ya dawa ili waendelee kunywa, ikiwa ni mkakati wa kumaliza tatizo…
Methali ya Kiswahili isemayo “Watoto pambo la nyumba, wathaminiwe” ni methali yenye maana kubwa...
Nchini Gambia, angalau wahamiaji saba wamefariki na wengine kadhaa hawajulikani walipo baada ya boti yao kuzama usiku wa Desemba 31, walipokuwa wakijaribu kuingia Ulaya kupitia njia ya baharini ya Atlantiki,…
Mvutano wa kidiplomasia katika Pembe ya Afrika unaendelea kufuatia tangazo la Israel la kuitambua uhuru wa Somaliland, eneo linalotaka kujitenga kaskazini mwa Somalia. Rais wa Somalia anaishutumu serikali ya Israel…
#HABARI:Wananchi wameendelea kufika katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro kutambua miili ya ndugu zao, waliopoteza maisha kwenye ajali ya basi na lori, yaliyogongana…
MAUZO ya korosho kwenye minada mbalimbali nchini yamevunja rekodi baada ya kuvuka Sh trilioni 1.2 ambazo zimekusanywa nchini, kutokana na kuuzwa tani 433,000 za korosho msimu huu unaotarajiwa kukamilika Machi…
Katika kuadhimisha sherehe za kufunga mwaka 2025 na kufungua mwaka mpya wa 2026, Hifadhi ya Taifa Mikumi imeendelea kuwa kivutio kikubwa cha utalii wa ndani baada ya kutembelewa na Godfrey…
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imejivunia ufanisi wa ukusanyaji wa mapato katika robo ya pili ya Mwaka 2025/2026 huku Desemba ikivunja rekodi za ukusanyaji wa mapato nchini kwa kukusanya Sh…
DAR ES SALAA: MASHUJAA Queens FC Head Coach Ally Ally has expressed strong satisfaction with both his team’s progress and the overall standard of competition in the ongoing Tanzania Women’s…
WAKATI Watanzania wakiungana na watu wengine duniani kote kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2026, Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi zawadi mbalimbali za mwaka mpya kwa watu wenye mahitaji mkoani Kilimanjaro. Zawadi…
SHINYANGA: ASKOFU wa Kanisa la Ufunuo mkoani Shinyanga, Samawi Bendera amewashauri waumini wa kanisa hilo kujiepusha na vurugu kwani kuna baadhi ya nchi watu wake wamekuwa wakiingia kanisani kuhubiri kwa…